728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 12, 2016

  WAZIRI TIZEBA AZINDUA JENGO LA KIMATAIFA NA KISASA LA UPOKEAJI WA MIZIGO KUTOKA NJE


  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dtk Charles Tizeba, akikata utepe, wakati wa uzinduzi rasmi wa Jengo la Kimataifa na Kisasa la Upokeaji wa Mizigo kutoka nje, lilojengwa na Kampuni ya Swissport Tanzania. Aliyesimama katikati ni Mwenyekiti wa Bodi wa Swissport, Bw. Mark Skinner.
  Bw. Gaudence Temu (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Tanzania, akifafanua jambo kwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dtk Charles Tizeba, wakati wa uzinduzi rasmi wa Jengo la Kimataifa na Kisasa la Upokeaji wa Mizigo kutoka nje, lilojengwa na Kampuni ya Swissport Tanzania
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI TIZEBA AZINDUA JENGO LA KIMATAIFA NA KISASA LA UPOKEAJI WA MIZIGO KUTOKA NJE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top