
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa na mkewe Mary wakisalimiana na wananchi wa kijiji
cha Nangumbu wilayani Luangwa baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa
katika ziara ya mkoa wa Lindi Julai 14, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa kijiji cha
Nangumbu wilayani Luangwa baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa
katika ziara ya mkoa wa Lindi Julai 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji
cha Nangumbu wilayani Luangwa ambako ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa katika ziara ya mkoa wa Lindi, Julai 14, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na wananchi wa kijiji
cha Nangumbu wilayani Luangwa baada ya kuwasili kijijini hapo ili
kuzungumza na wananchi wakiwa katika ziara ya mkoa wa Lindi Julai 14,
2016. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu.(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment