728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 12, 2016

  Waziri Mkuu atembelea kiwanda cha Nondo na Bidhaa za Chuma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani


  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akipata maelekezo toka kwa mtaalamu wa michoro wa kampuni ya Kiluwa Steel Group Ltd. wakati Waziri Mkuu alipotembela kiwanda hicho mapema hii leo Kibaha, mkoani Pwani.
  Mkurgenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Nondo na bidhaa za chuma cha Kiluwa Steel Group Ltd. akitoa maelekezo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu)wakati Waziri Mkuu alipokitembelea kiwanda hicho mapema hii leo Kibaha Mkoani Pwani.Picha zote na Eliphace Marwa -Maelezo.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akisalimiana na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage mara tu Waziri Mkuu alipowasili katika kiwanda cha nondo na bidhaa za vyuma cha Kiluwa Steel Group Ltd.kinachoendelea na ujenzi Kibaha Mkoani Pwani mapema hii leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Mkuu atembelea kiwanda cha Nondo na Bidhaa za Chuma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top