728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 13, 2016

  WAKUU WA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII WAJADILI UBORESHAJI SERA, KANUNI NA TARATIBU ZA MITIHANI.


  Profesa Mshiriki kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Willy Komba akitoaufafanuzi kwa Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu Sera, Kanuni na Taratibu za Mitihani wakati wa kikao kazi cha wakuu hao leo mjini Dodoma.
  Kaimu Katibu Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Erasimus Rugarabamu (katikati) akifuatilia michango mbalimbali ya uboreshaji wa Sera,Kanuni na Taratibu za Mitihani wakati kikao kazi cha wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii leo mjini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Enterberth Nyoni na Mwenyekiti wa Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii Bw. Paschal Mahinyila.

  Washiriki wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Vyuo vya maendeleo ya Jamii wakipitia nyaraka mbalimbali leo mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa viwango vya taaluma katika vyuo wanavyovisimamia.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAKUU WA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII WAJADILI UBORESHAJI SERA, KANUNI NA TARATIBU ZA MITIHANI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top