728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI WAKUTANA NA MKURUGENZI WA TCCA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA MAMLAKA HIYO.

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari( katikati )akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali hapa nchini kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa huduma za mamlaka ya TCAA Mbutolwe Kabeta
  Wahariri wa vyombo vya habari mbalilmbali hapa nchini wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa ASnga TCAA Hamza Johari (hayopo pichani) wakati wa mkutano uliohusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo kuelekea katika mipango yake ya mwaka wa fedha 2016/17.Pamoja na kufahamiana na wahariri hao. Mkutano huo uliofanyika leo makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa huduma za mamlaka ya TCAA Mbutorwe Kabeta.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI WAKUTANA NA MKURUGENZI WA TCCA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA MAMLAKA HIYO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top