728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 28, 2016

  Vilainishi aina ya KY Jerry vyakamatwa Mkoani Shinyanga

  Sehemu ya Shehena ya Vilainishi aina ya KY Jerry iliyokamatwa Mkoani Shinyanga leo. Shehena ya Vilainishi aina ya KY Jerry imekamatwa Mkoani Shinyanga leo, hivi karibuni Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto kusitisha ugawaji wa Vilainishi miongoni mwa makundi maalumu yaliyo katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Vilainishi aina ya KY Jerry vyakamatwa Mkoani Shinyanga Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top