728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 21, 2016

  VIJANA WANA FURSA YA KUTUMIA MAONESHO KATIKA KUCHAGUA VYUO WANAVYOTAKA VYA NDANI NA NJE YA NCHI.

  Hayo ameyasema mkurugenzi mtendaji, Abdulmalik Mollel wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam .

  Mollel amesema kuwa vyuo vya nje viko 100 ambavyo vimeshiriki maonesho hayo. Mkurugenzi huyo amesema kuwa bodi ya mikopo wanafunzi wanaweza kutumia kujua jinsi gani bodi

  inafanya ikiwa pamoja na udahili wa vyuo vya nje unafanywa katika maonesho hayo .Mollel amesema kuwa vyuo vya nje vilivyopo ni bora na vinaendana maisha ya watanzania kuweza kumudu gharama za vyuo hivyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VIJANA WANA FURSA YA KUTUMIA MAONESHO KATIKA KUCHAGUA VYUO WANAVYOTAKA VYA NDANI NA NJE YA NCHI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top