728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  UNFPA YATOA ELIMU YA UZAZI SALAMA VIJIJINI KUPITIA TAMASHA LA KIMATAIFA LA NCHI ZA JAHAZI (ZIFF)

  Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu (UNFPA) Dk. Natalia Kanem (alievaa shati la njano) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ushiriki wao katika kuhamasisha uzazi salama katika Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF) linaloendelea Mjini Zanzibar.
  Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mwakilishi wa UNFPA Dk. Natalia Kanem wakati wa mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisi za Umoja wa Mataifa Zanzibar ziliopo Kinazini Mjini.
  Afisa Habari wa UNFPA Zanzibar Ali Haji akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo, (kulia) Mwakilishi wa Shirika UNFPA Dk. Natalia Kanem. Picha na Makame Mshenga / Maelezo Zanzibar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UNFPA YATOA ELIMU YA UZAZI SALAMA VIJIJINI KUPITIA TAMASHA LA KIMATAIFA LA NCHI ZA JAHAZI (ZIFF) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top