728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 21, 2016

  TANZANIA NA POLAND ZASAINI MAKUBALIANO KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI.

   Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Dkt Adelhelm James Meru akizungumza na Wawekezaji mbalimbali wa Tanzania na Poland kuhusu uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.
   Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji(TIC),Clifford Tandari(kulia) pamoja na  Mtendaji Mkuu wa Uwekezaji nchini Poland, Bartlomies Pawlak(kushoto) wakitia saini ya Makubaliano baina ya nchi mbili hususan katika Sekta ya Kilimo na kusaidia katika kuendeleza Uchumi wa Viwanda pamoja na Elimu hapa nchini.
   Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini, Gedfrey Simbeye akizungumza na Wadau wa Sekta ya Uwekezaji wa Tanzania na Poland juu fursa ya Uwekezaji iliyopo hapa nchini.
   Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji(TIC),Clifford Tandari akiwasilisha mada katika mkutano huo uliowahusisha wadau wa Sekta ya uwekezaji wa Tanzania na Poland.
  Wadau mbalimbali wa Sekta ya Uwekezaji wakisikiliza baadhi ya mada zilizokuwa zinawasilishwa katika mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZANIA NA POLAND ZASAINI MAKUBALIANO KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top