728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 21, 2016

  TAMASHA LA 21 LA UTAMADUNI WA MZANZIBARI LAFANYIKA KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 MICHEZANI ZANZIBAR.


  WAZIRI wa Habari, Utlii,Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma akipokea maonesho ya fensi mbali mbali ya Tamasha la 21 la Utamaduni wa Mzanzibari yaliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
  WAJASIRIAMALI wakionesha bidhaa mbali mbali walizotengeza katika maonyesho ya Tamasha iliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani. . (PICHA NA MIZA OTHMAN – HABARI MAELEZO –ZANZIBAR).

  MKURUGENZI Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mahamoud Omar Hamad akimpa maelezo Balozi Mdogo wa India namna ya ubuyu wakizanzibari ulivyotengenezwa wakati alipokuwa maonyesho hayo katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
  WANANCHI mbalimbali wakishuhudia moja kati ya kiburudisho katika fensi hiyo iliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.

  WASANII WA UTAMADUNI wakionyesha igizo la ung’owaji wa jino katika Tamasha la 21 Utamaduni wa Mzanzibari katika maonyesho yaliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.


  ICHA NO:0291: ZANa za Utmaduni zilizokuwa zikitumika kusagia nafaka mbalimbali kama zinvyoneshwa na wasanii wetu katika maonyesho ya Tamasha iliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAMASHA LA 21 LA UTAMADUNI WA MZANZIBARI LAFANYIKA KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 MICHEZANI ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top