728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 27, 2016

  TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA DANSI KUFANYIKA JUMAMOSI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa dansi nchini. Picha na Geofrey Adroph.
  Mdau wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi kufanyika hapa nchini.
  Mwanamuzi wa mziki wa dansi, Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipofika ofisini kwake leo, kuzungumzia Tamasha la muziki huo litakalofanyika Jumamosi Viwanja vya Leaders ambalo litashirikisha bendi 10 maarufu za hapa nchini.
  Baadhi ya waandishi wakiwa kazini.
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa dansi baada ya kuzungumza nao ofisi kwake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA DANSI KUFANYIKA JUMAMOSI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top