728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 25, 2016

  SHAMRA SHAMRA ZA KUMPOKEA MWENYEKITI MSTAAFU WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE ZAPAMBA MOTO MJINI BAGAMOYO

  Mbunge was jimbo la Mkuranga ambaye pia ni katibu wa wabunge wanaotokana na chama cha Mapinduzi CCM Abdallah Ulega akiwa sambamba na katibu wa CCM mkoa wa pwani Joyce Masunga wakijadiliana jambo kabla ya kumpokea mwenyekiti mstaafu wa CCM Dkt.Jakaya Kikwete
  Baadhi ya Wanachama cha CCM wakinogesha sherehe za kumpokea na Kumkaribisha Dkt Jakaya kikwete ambaye amekabidhi kijiti cha Uenyekiti wa chama hicho kwa Mwenyekiti mpya,Rais Dkt John Pombe Magufuli,kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa chama hicho uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
  Maandalizi yaliyoambatana na chereko chereko za hapa na pale za kumpokea na Kumkaribisha Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho,Dkt Jakaya kikwete zikiendelea ukumini humo 
  Wanachana na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani wakimsubili kumpokea na kumkaribisha nyumbani Mwenyekiti mstaafu na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete katika ukumbi wa Kasuba,Msoga-Bagamoyo.PICHA NA EMANUEL MASSAKA-GLOBU YA JAMII-BAGAMOYO.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SHAMRA SHAMRA ZA KUMPOKEA MWENYEKITI MSTAAFU WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE ZAPAMBA MOTO MJINI BAGAMOYO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top