728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 21, 2016

  Rais wa Zanzibar Dkt Shein na wajumbe wa visiwani watua Dodoma asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM

  Rais wa Zanzibar na MakamU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh Jordan Rugimbana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani Dodoma sambamba na wajumbe wake asubuhi hii,kushiriki mkutano maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23,206 katika ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma.
  Rais wa Zanzibar na MakamU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi wa ndege ya shirika la Precision air muda mfupi baada ya kuwasili mkoani Dodoma sambamba na wajumbe wake asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23,206 katika ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma.

  Pichaani ni baadhi ya Wajumbe mbalimbali kutoka Visiwani Zanzibar wakiwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma asubuhi hii,kushiriki mkutano maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23,206 katika ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais wa Zanzibar Dkt Shein na wajumbe wa visiwani watua Dodoma asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top