728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 31, 2016

  RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NZEGA MKOANI TABORA.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Mkoani Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka  mara baada ya Kuwasili Nzega mkoani Tabora jana kwa ajili ya ziara ya kikazi.

  J2 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Tabora Al-Haji Ramadhani Rashid katika viwanja vya  Stendi ya Nzega kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa Nzega.

  J3 J4 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  mamia ya wananchi katika viwanja vya Stendi ya Nzega wa mkoani Tabora jana.

  PICHA NA IKULU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NZEGA MKOANI TABORA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top