728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 19, 2016

  Ngoma Africa Band Yawadatisha washabiki Bayreuth Festival,Ujerumani

  Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU juzi siku ya jumamosi 16 Julai 2016 ilifanikiwa kwa mara nyingine kudhiirishia ulimwengu kwa kuwatia kiwewe washabiki katika onyesho kubwa la muziki lilifanyika katikati ya mji wa Bayreuth,ujerumani ya kusini,bendi ikiongozwa na mkuu wake Kamanda Ras Makunja ilikwea jukwaani majira ya saa tatu usiku na kuunza kudatisha maelfu ya washabiki ,watayarishaji wa onyesho hilo kubwa kampuni ya Tropical Internaiment wamesema haijawai kutokea bendi kama hii Ngoma Africa band ambayo mudundo wake umewachangaya akili watu wote hapa!!  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ngoma Africa Band Yawadatisha washabiki Bayreuth Festival,Ujerumani Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top