728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 14, 2016

  Naibu Waziri Wambura atembelea klabu ya Trust St.Patrick Sport Academy


  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akionyeshwa eneo litakalo jengwa kituo cha mafunzo ya michezo leo jijini Arusha leo na Katibu Mkuu wa Trust St.Patrick Sport Academy Bi.Dinna Patrick alipotembelea eneo hilo kujionea hali halisi.
  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura(katikati) akitoa maagizo leo jijini Arusha kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa Bi Alice Mapunda(wakwanza kushoto) kuhusu barabara iliyopita katikati ya mradi huo wa kituo cha mafunzo ya michezo.
  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura (watano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja leo jijini Arusha na baadhi ya wanafunzi wa wasichana katika Shule ya Trust St.Patrick Sport Academy wanaocheza mpira wa alipotembelea shule hiyo inayofundisha michezo mbalimbali ,wanne kulia ni Meneja wa Shule hiyo Bw.Patrick Khagya.
  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura (watano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja leo jijini Arusha na baadhi ya wanafunzi wa wanaocheza mpira wa kikapu katika Shule ya Trust St.Patrick Sport Acadealipotembelea leo jijini Arusha kujionea timu zao za michezo,watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa Shule Bi.Dinna Patrick.
  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura akisalimiana na Mwanariadha wa zamani Bw.Faustine Sulle ,mara baada ya mkutano wa wadau wa kisekta uliyofanyika jijini Arusha katika ofisi za Mkuu wa Mkoa.
  Baadhi ya Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura (katikati) alipotembeleo klabu hiyo leo Jijini Arusha (wapili kushoto)ni Mwenyekiti wa Klabu Bw.Claud Gwadu na (wapili kulia)ni Naibu Katibu wa Klabu Bw.Mustapha Leu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Naibu Waziri Wambura atembelea klabu ya Trust St.Patrick Sport Academy Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top