728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 12, 2016

  NAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UENDELEZAJI MILKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa uendelezaji milki uliofanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Usimamizi Milki, Hamad Abdallah, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa Nyumba wa wizara hiyo, Charles Mafuru na Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maaly. Mkutano huo uliandaliwa na NHC.
  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula kuufungua.
  Mwonekano wa meza kuu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
  Wadau wa uendelezaji milki wakiwa kwenye mkutano huo.

  Wadau wa uendelezaji milki wakiwa kwenye mkutano huo.


  Taswira ya chumba cha mkutano huo.
  Mwonekano wa chumba cha mkutano katika ufunguzi wa mkutano huo.


  (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712727062)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UENDELEZAJI MILKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top