728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 16, 2016

  Naibu Waziri Mhe.Anastazia Wambura atembelea mitambo ya TBC Manyara


  Mkuu wa Kituo cha TBC Manyara Bw. Mganga Mwanja (wa kwanza kulia)akimweleza Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo (katikati) Mhe.Anastazia Wambura changamoto ya mitambo waliyo nayo alipotembelea eneo la mitambo ya kurusha matangazo leo katika Mji wa Babati katika ziara yake ya kikazi.
  Katibu Tawala Mkoa wa Bw.Manyara Eliakim Maswi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mji wa Manyara Bi. Rena Urio leo kabla ya kuanza kwa ziara ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura(wa pili kushoto) kutembelea vivutio vya kiutamaduni vilivyoko katika Wilaya ya Babati.

  Anitha Jonas – MAELEZO,BABATI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Naibu Waziri Mhe.Anastazia Wambura atembelea mitambo ya TBC Manyara Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top