728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 30, 2016

  MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI, MBUNGE WASHIRIKI KATIKA KUFANYA USAFI LEO


  Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa, akitoa maelekezo kwa wakazi wa wilaya hiyo waliojitokeza kushiriki kazi za usafi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
  Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya hiyo,Hashim Mgandilwa (wapili kulia) wakishiriki kazi za usafi eneo la Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi.

  Mmoja ya watoto waliojitokeza kwenye kazi hiyo ya kufanya usafi.
  Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Wilaya ya Kigamboni, Fanuel Kipesha akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kazi ya usafi kukamilika.

  Baadhi ya washiriki wa kazi ya usafi walichoma moto takataka laini.

  Baadhi ya askari wa vikosi mbalimbali walishiriki kazi hiyo ya usafi huku wakiwa wamevalia sare tofauti tofauti.  Gari Maalum kwaajili ya kubeba taka ngumu lilikuwepo na kazi hiyo ilifanyika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI, MBUNGE WASHIRIKI KATIKA KUFANYA USAFI LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top