728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 13, 2016

  MKOA WA NJOMBE WATWAA TUZO YA KAMPENI YA KUTUNZA USAFI WA MAZINGIRA NA AFYA NCHINI

  Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu akimkabidhi Mwenyekiti wa kijiji cha Matiganjora Mkoa wa Njombe Bw. Laston Mwinami funguo ya gari kama zawadi ya kushinda tuzo ya kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam.

  Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akimkabidhi tuzo ya heshima Mwakilishi wa Familia ya marehemu Sarah Dumba aliyekuwa Mhariri na mtangazi wa RTD wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam

  Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu akitoa zawadi za cheti na Pikipiki kwa washindi wa jumla kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini ambao ni wawakilishi wa kijiji cha Matiganjora Kata ya Ikuna Mkoa wa Njombe wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam.

  Wadau mbalimbali waliofanya vizuri ngazi ya Wilaya na Halmashauri kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini wakimsikiliza kwa makini Mgeni rasmi Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu hayupo pichani wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam. Picha zote na Ally Daud- maelezo .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKOA WA NJOMBE WATWAA TUZO YA KAMPENI YA KUTUNZA USAFI WA MAZINGIRA NA AFYA NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top