728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 16, 2016

  MBUNGE WA MKURANGA ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA KATA


  Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Hassan Sanga akizungumza na watendaji wa kata kuhusu kupeana mikakati ya kazi ,mkutano huo ulioandaliwa na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega leo mkoani Pwani.kushoto ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Mkuranga Ulega
  Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na Watendaji wa kata (hawapo pichani) kuhusu kupeana mikakati ya kazi, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, , Filberto Hassan Sanga
  Mwanasheria wa Wilaya ya Mkuranga Salum Papen akisisitiza jambo katika mkutano huo, kulia ni Afisa Utawala na Utumishi wa Wilaya hiyo, Valentine Mbai
  Sehemu ya Watendaji wa kata wakimsiliza Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Hassan Sanga
  Mkuu wa Wilaya ya Mkuraanga, Filberto Hassan Sanga pamoja na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega wakiwa kwenye picha ya pamoja na Watendaji wa kata.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBUNGE WA MKURANGA ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA KATA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top