728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  MAMA MAJALIWA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MLEMAVU

  u1 u2 
  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama Lorand Leonard Kambangu  akiendesha baiskeli ya magurudumu matatu aliyopewa na Mke wa Waziri Mkuu katika mkutano wa hadahra uliohutubiwa na Waziri Mkuu  kwenye kijiji cha Nanganga wilayani  Luangwa  Julai 14, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAMA MAJALIWA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MLEMAVU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top