728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 22, 2016

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo aliwaambia umoja na mshikamano ni nguzo muhimu kwa wanawake .Aliwataka kutumia fursa zinazopatikana mjini na kujiunga na Majukwaa ya Wanawake.
  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Wilaya ya Uvinza ,Asha Baraka akichangia jambo wakati wa Mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
  Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia mazungumzo baina yao na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.

  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top