728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 29, 2016

  MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajilia ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai pamoja na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga (kulia) alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
  (Picha na Ofisi ya Bunge)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top