728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 23, 2016

  makabidhiano ya halmashauri kwa wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa (Kulia) Ndg Twalib A. Mbasha akitoa  hati ya makabidhiano ya Wilaya kwa Mkurugenzi wa sasa wa Halmashauri hiyo Ndg Zabron I. Bugingo.
  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg Zabron I. Bugingo (Kushoto) akipata Picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hio Ndg Twalib A. Mbasha. Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri Bwana Abubakar Mussa Mjaka.
  Picha ya pamoja ya aliyekuwa Mkurugenzi na Mkurugenzi wa sasa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Pamoja nawakuu wa Idara/Wataalamu wa Halmashauri. Nyuma waliosimama wa katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri mwenye T-shirt. Picha na Bernad Mpangala.(Mchambuzi wa Mifumo Kilwa (W).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: makabidhiano ya halmashauri kwa wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top