728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 14, 2016

  MAJI MAREFU AMWAGA MADAWATI JIMBONI MWAKE.


  Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Robet Gabriel kushoto akipokea madawati 200 kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu jana ambapo madawati hayo yalitolewa kupitia fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukabiliana na upungufu wa madawati kwa shule za msingi wilayani Korogwe
  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngony'ani alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia kushoto ni Diwani wa Kata ya Kerenge wilayani Korogwe wakiwa wamebeba moja kati ya madawati 200 ambayo yalikabidhiwa leo na mbunge huyo kupitia Fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya shule za msingi wilayani Korogwe jana

  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM),Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutoa madawati
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJI MAREFU AMWAGA MADAWATI JIMBONI MWAKE. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top