728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 24, 2016

  Kwaheri JK, Karibu Magufuli: Uchambuzi wa kina kuhusu uchaguzi wa m/kiti wa CCM (T)

  Jana Julai 23, 2016 Rais Dokta John Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa chama tawala CCM, na mtangulizi wake, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, kung'atuka rasmi. Ufuatao ni uchambuzi wa kina kuhusu mabadiliko hayo ya uongozi wa juu kabisa wa chama hicho kikongwe, hasa fursa na changamoto kwa Mwenyekiti mpya Magufuli. Karibuni
  Check this out on Chirbit
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kwaheri JK, Karibu Magufuli: Uchambuzi wa kina kuhusu uchaguzi wa m/kiti wa CCM (T) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top