728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  KUMEKUCHA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA

  Na Bashir Nkoromo
  Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva.

  Taarifa iliyotolewa leo jijiniDar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika Julai 21, 2016, na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) siku ya pili, Julai 22, 2016.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUMEKUCHA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top