728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 27, 2016

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya atembelea chuo cha maendeleo ya wananchi kilichopo nzega mkoani tabora.  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Chuo cha aendeleo ya Wananchi kilichopo Nzega Mkoani Tabora.
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia chumba kwa ajili ya mafunzo ya Komputa alipotembelea Chuo cha Maendeleo ya Wananchi kilichopo Nzega Mkoani Tabora.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Bw. Eustaki Shirima na Kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Ununuzi na Ugavi kutoka Wizara hiyo Bw. Richard Mallya.
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia karakana inayotumika kwa mafunzo katika chuo hicho, Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Eustaki Shirima
  Jengo la Karakana katika chuo hicho.

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akiongea na watumishi katika chuo hicho mapema leo alipotembelea kuona utendaji chuoni hapo.


  Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akijadiliana jambo na Mkurugenzi Idara ya Ununuzi na Ugavi kutoka Wizara hiyo Bw. Richard Mallya (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bw. Eustaki Shirima kilichopo Nzega Mkoani Tabora alipokitembelea chuo hicho mapema leo.

  PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Katibu Mkuu Wizara ya Afya atembelea chuo cha maendeleo ya wananchi kilichopo nzega mkoani tabora. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top