728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 20, 2016

  kampuni ya chemcotex yatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake,yawazawadia wateja wake kwa kutoa gari
  Gari lililoandaliwa na kampuni ya chem&cotex inayotengeneza na kusambaza dawa ya meno ya whitedent ambayo itashindaniwa na watumiaji wa dawa hiyo kwa kubuni idadi ya dawa zilizondani ya gari hiyo ikiwa ni katika kusherehekea miaka 25 ya dawa ya whitedent. 
  Katika kusherehekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwa dawa ya meno ya whitedent kampuni ya chem&cotex imeamua kuwazawadia wateja wake kwa kutoa gari itakayoshindaniwa kwa wateja hao kujaza idadi ya dawaza meno zilizo ndani ya gari hiyo, kampeni iliyozinduliwa mkoani morogoro.

  Mgeni rasmi katibu tarafa wa manispaa ya morogoro Pakalapakala Mlenge akiongea na akiongea na wakazi wa morogoro waliojitokeza katika hafla ya kusherehekea miaka 25 ya dawa ya meno ya whitedent.
  Wanyakazi wa kampuni ya chem&cotex inayotengeneza na kusambaza dawa ya meno ya white dent wakiwa katika picha ya pamoja na katibu tarafa manispaa ya morogoro Pakalapakala Mlengekatika hafla ya kusherekea miaka 25 ya dawa hiyo iliyokwenda sambasa na uzinduzi wa bahati na sibu ya kushinda gari kwa wateja kutaja idadi ya dawa zilizo ndani ya gari hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: kampuni ya chemcotex yatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake,yawazawadia wateja wake kwa kutoa gari Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top