728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  JWTZ MAANDALIZI KOMBE LA SHIRIKISHO


  Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro akikagua Paredi ya mapokezi katika kambi ya Bavuai Zanzibar alipofika kutembelea kambi ya Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu.
  Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro (Kushoto)akiambatana na mkuu wa kambi ya Bavuai Luteni Kanali Mohamed Adam (katikati)walipofika Zanzibar kutembelea kambi ya Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu.
  Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro akiongea na Wanamichezo (hawako Pichani )katika kambi ya Bavuai Zanzibar alipofika kutembelea Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu.
  Mkuu wa Mafunzo na Utendaji kivita Meja jenerali Issa Nasoro akiongea na Wanamichezo katika kambi ya Bavuai Zanzibar alipofika kutembelea Timu teule za JWTZ zitakazozishikiri mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika mashariki yatakayofanyika Kigali Rwanda mwezi Agost Mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JWTZ MAANDALIZI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top