728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 30, 2016

  JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU ATEMBELEA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO KIGAMBONI
  Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linalojengwa kwa kutumia Teknolojia ya Moladi.
  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi akimwonyesha Ramani ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linaloendelea kujengwa jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo linajengwa kwa kutumia teknolojia ya Moladi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU ATEMBELEA UJENZI WA MAHAKAMA YA MWANZO KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top