728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 29, 2016

  HUDUMA YA UKATAJI TIKETI MABASI YA MIKOANI ZAZINDULIWA

  mav2 
  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo inayotoa huduma ya Global Light Company Bw. Raymond Magambo.Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
  mav1 
  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki inayotolewa na kampuni ya Global Light company mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HUDUMA YA UKATAJI TIKETI MABASI YA MIKOANI ZAZINDULIWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top