728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, July 28, 2016

  Dkt. Shein aelekea Nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya.

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali akiagwa na Makamu wa ili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Mjini Dar es salaam akielekea Nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya.
  Balozi Seif akimuaga Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar ves salaam Jijini Dar es salaam. Picha na OMPR – ZNZ.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Dkt. Shein aelekea Nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top