728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 18, 2016

  Dk shein azungumza na kamati ya uchangisgaji fedha za madawati

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za Zanzibar katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za Zanzibar katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo,[Picha na Ikulu.]18/07/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Dk shein azungumza na kamati ya uchangisgaji fedha za madawati Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top