728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, July 31, 2016

  DK MNDOLWA AIBUKA KIDEDEA GOLF LUGALO  Dk Edmund Mndolwa mshindi wa Jumla kwa mwezi July baada ya kuibuka na Ushindi wa Mikwaju ya Jumla (Gross) 87 katika mashindano yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.
  Dk Edmund Mndolwa mshindi wa Jumla kwa mwezi July baada ya kuibuka na Ushindi wa Mikwaju ya Jumla (Gross) 87 akipiga mkwaju wa mwisho katika mashindano yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.
  Mshindi wa kwanza kwa Wanawake Victoria Elias Akijiweka sawa huku Mwezie Chiku Elias akimshuhudia wakati wakimenyana katika mashindano ya Kila mwisho wa mwezi katika Klabu ya Lugalo ya Nmb Monthly Mug.


  Mshindi wa kwanza kwa Wanawake Victoria Elias Akijiweka sawa kupiga mpira wa Mwisho wakati wakimenyana katika mashindano ya Kila mwisho wa mwezi katika Klabu ya Lugalo ya Nmb Monthly Mug.
  Afisa wa Habari kutoka JWTZ Luteni Selemani Semunyu akitoa Zawadi kwa Mshindi wa Kwanza kwa Watoto (Junior) Zuwena Hamisi mara baada ya Kumalizika mashindano ya mwezi July (Monthly Mug )yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.

  Wachezaji Golf Chipukizi wakijiweka sawa wakati wa mashindano ya kila mwisho wa Mwezi ambapoi kwa mwezi July yalifanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.(Picha na Selemani Semunyu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DK MNDOLWA AIBUKA KIDEDEA GOLF LUGALO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top