728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 29, 2016

  DIAMOND NA SWIZZ BEATS NA MPANGO WA KUINUA MUZIKI WA AFRICA


  DIAMOND PLATNUMZ JUZI KATI TAREHE 22 JULY ALIPERFORM KWENYE TAMASHA LA ONE AFRICA MUSIC FESTIVAL AMBAYO ILIFANYIKA BROOKLYN NEWYORK KTK UKUMBI MKUBWA WA Barclay center, NEW SHOW KUBWA KULIKO ZOTE AMBAZO DIAMOND AMEWAHI KU PERFORM NJE YA AFRICA, XXL ILIWAKILISHWA NA B DOZEN AMBAYE ALISHUHUDIA PRODUCER SWIZZ BEATS AKIFIKA KWENYE SHOW HIYO MAALUM KWA AJILI YA KUKUTANA NA DIAMOND PLATNUMZ, SO MUDA MFUPI BAAD AYA MEETING HIYO, DOZEN ALIMVUTA CHAMBER DIAMOND AKAFUNGUKA WALICHOZUNGUMZA NA PRODUCER SWIZZ BEATS AMBAYE ANA TUZO MBILI KUBWA DUNIANI ZA BET, NA GRAMMYS
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DIAMOND NA SWIZZ BEATS NA MPANGO WA KUINUA MUZIKI WA AFRICA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top