728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, July 30, 2016

  DC WA ILALA SOPHIA MJEMA AONGOZA ZOEZI LA USAFI MANISPAA YA ILALA LEO JIJINI DAR
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akiongoza viongozi wa Manispaa ya Ilala kuweka vifaa vya usafi barabara ya Kivukoni.DC Mjema na viongozi wengine wa wilaya hiyo wanatekeleza agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema (katikati akiwa na baadhi ya viongozi wa Manispaa ya Ilala .Pichani kushoto ni Mkurugenzi wilaya ya Ilala Ndugu Msongela Palela pamoja na Katibu Tarafa Ndugu Edward Mpogoro kuweka vifaa vya usafi barabara ya KivukoniDC Sphia Mjea akielekeza jambo wakati wa kuweka vifaa vya usafi barabara ya kivukoni mapema leo,jijini Dar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC WA ILALA SOPHIA MJEMA AONGOZA ZOEZI LA USAFI MANISPAA YA ILALA LEO JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top