728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, July 20, 2016

  CHUO KIKUU CHA KIISLAMU CHA MOROGORO WASHIRIKI MAONESHO YA VYUO VIKUU, FROF. NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA CHUO HICHO

  Banda la Chuo cha Kiislamu cha Morogoro katika maonesho ya vyuo Vikuu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vyuo vikuu hapa nchini(TCU)yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai 20,21,22 mwaka huu.  

  Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akitembelea katika banda la chuo cha Kiislamu cha(MUMO) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai,20,21,n1 22 mwaka huu.
   Mkurugenzi wa kituo cha confucius wa  Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro,Sun Xiaofei akitoa maelekezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Chuo Kikuu cha Kiislamu  cha Morogoro yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam leo.
   Mwalimu wa Taasisi ya Confucius iliyopo katika chuo kikuu cha Kiislamu cha Morogoro, Chang Yue akitoa maelekezo yanayoendelea katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: CHUO KIKUU CHA KIISLAMU CHA MOROGORO WASHIRIKI MAONESHO YA VYUO VIKUU, FROF. NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA CHUO HICHO Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top