728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, July 15, 2016

  AUDIO: Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu shambulio la kigaidi nchini Ufaransa

  Uchambuzi wangu wa kiintelijesnia kuhusu shambulio la kigaidi lililotokea jana usiku katika jiji la Nice, nchini Ufaransa ambapo hadi sasa watu 84 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya gaidi mmoja kuliingiza lori kwenye kundi la watu waliokuwa wakisherehekea siku ya kitaifa nchini humo. Bonyeza hapo chini kusikiliza uchambuzi huo

  Check this out on Chirbit
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AUDIO: Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu shambulio la kigaidi nchini Ufaransa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top