TAHADHARI:UGONJWA WA KIPINDUPINDU WAINGIA MJINI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA WATU ZAIDI YA SITA WALIPOTIWA KUWA NA UGONJWA HUO. - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

TAHADHARI:UGONJWA WA KIPINDUPINDU WAINGIA MJINI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA WATU ZAIDI YA SITA WALIPOTIWA KUWA NA UGONJWA HUO.

Share This
Wakazi wa mji wa Sumbawanga watakiwa kuchukua taadhari juu wa ugonjwa wa mlipuko wa Kipindupindu ili kuepukana na madhara ya ugonjwa huo.

 Watu zaidi ya Sita wanaripotiwa kuwa na ugonjwa huo na wamefikishwa katika hospitali ya mkoa wa Sumbawanga kwajili ya matibabu.

 Serikali ya mji huo wa Sumbawanga imewataka wakazi wote wa mji huo kuchukuwa taadhari juu ya ugonjwa huo kwa Kunawa mikono yao kabla ya kula chakula na baada ya kula na 
 kufanya usafi wa mazingira.

Pia wameaswa kuwakataza watoto wao kucheza katika mitaro ambayo haitiririshi maji machafu (inayotuamisha maji) na tahadhari zinginezo kujikinga na Ugonjwa huo uliopo hivi sasa Mjini Sumbawanga Mkoani Rukwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad