JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAAZIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA LEO

Share This
Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika benki ya  CRDB tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam,  wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo.
Meneja wa mwongozaji wa wateja wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Yahaya Kiyabo akizungumza na mteja aliyetembelea tawi hilo leo.
Baadhi ya wateja waliofika katika benki ya CRDB tawi la Water Front wakipokelewa na wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam leo,wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo iliyoadhimishwa katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.
Keki ya kuwashukuru wateja wanaotembelea katika tawi la Water Front.
Wateja waliotembelea tawi la Water Front, Mr &Mrs Prakash Shah wakishirikiana na Genoveva Kiliba kukata keki ya kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo iliyoadhimishwa katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akiwagawia keki wateja waliofika katika tawi la Water  Front katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa Wateji.

Wateja wakifungua shampaini katika tawi la Water  Front wakati  wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa Wateji.

Wateja waliohudhulia katika kuazimisha wiki ya huduma kwa wateja kwakigongesha glasi za waini leo katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akiwakabidhi wateja wa benki hiyo zawadi katika kuadhimisha wiki huduma kwa wateja iliyofanyika katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
Mteja Mrs. Prakash Shah akizungumza kwa kuwapongeza wafanyakazi wa benki ya CRDB wati la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa benki ya CRDB Tawi la Water Front, Donath Shirima akizungumza katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo katika tawi la Water Front.
Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akizungumza katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo katika tawi la Water Front.

Baadhi ya wafanyakazi wa tawi la Water Front wakisikiliza kwa makini.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad