JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MSANII WA KENYA SARA K KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI

Share This
 Mwenyekiti wa kamati  Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama amesema  washiriki wa tamasha hilo ni waimbaji mbalimbali wa injili kama Solomon Mkubwa, Rose Mhando, Upendo Nkone, Boniface Mwaitege, kwaya ya  KKT ya  Dar es Salaam pamoja na kwaya mojawapo kutoka Iringa, amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Kulia ni Katibu mkuu wa makanisa ya Kipendekote Askofu, David Mwasota akizungumza kuhusiana na tamasha hilo kuwa wananchi wakitokeze kwa wingi bila kujali itikadi zai za dini wala chama ili kuombea uchaguzi mkuu uwe wa amani utakaofanyika Oktoba 4 mwaka huu.Mwenyekiti wa kamati  Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad