728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, January 1, 2014

  UMOJA WA WACHUNGAJI ZANZIBAR WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MHE DKT. SALMIN AMOUR JUMA.

   Mratibu wa Dua Maalum ya kuliombea Zanzibar Allen Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) wakati na wenzake wakimkadhi zawadi Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma walipofika nyumbani kwake Migombani.
  Wachungaji wakiongozwa na Askofu Fabian Obedi kutoka kanisa la Sentekoste Zanzibar wa tatu kushoto wakimuaga Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma mara baada ya kumaliza kumuombea nyumbani kwake Migombani Zanzibar Dec 31/2013.

   Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwenye mkesha wa mwaka mpya Allen Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) aliesimama kulia akiwatambulisha wachungaji waliofika nyumbani kwa Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour Juma kwa lengo la kumtembele na kumuomea huko Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
    Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma wakuli alievaa kofia akiwapa historia ya Bara la Afrika kabla ya ukombozi wachungaji wa Zanzibar walipofika nyumbani kwake kumtembele jana huko nyumbani kwake Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UMOJA WA WACHUNGAJI ZANZIBAR WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MHE DKT. SALMIN AMOUR JUMA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top