728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 1, 2013

  PICHA MBALI MBALI ZA KITCHEN PARTY GALA ILIVYOKUWA NDANI YA GOLDEN JUBELEE JIJINI DAR.

  Mmoja wa waimbaji mahiri wa muziki wa taarabu nchini,Khadija Omari Kopa akitumbuiza mbele ya watazamaji waliofika kwenye hafla ya Kichen Party Gala iliyofanyika kwenye ukumbi wa Golden Jubelee jijini dar mwishoni mnamo tarehe 27 April. 
  Mmoja wa Waratibu wa hafla hiyo,ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena kupitia Clouds FM,Dina Marios akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali.

  Event ilifanyika tarehe 27 april 2013
  Venue ilikuwa golden jubelee tower
  Dress code ilikuwa rangi za bendera ya Tanzania na waliotokezea zaidi walizawadiwa.wasemaji Getrude Mungai wa Kenya,Aunty Sadaka,mama Victor Mburudishaji Khadija Kopa.

  Mmoja wa watoa Mada kwenye hafla hiyo,Mama Sadaka akiendelea kuzungumza mambo mbalimbali yaliyohusu shughuli hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PICHA MBALI MBALI ZA KITCHEN PARTY GALA ILIVYOKUWA NDANI YA GOLDEN JUBELEE JIJINI DAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top