728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 14, 2013

  UZEE MWISHO CHALINZE MJINI KILA MTU NI BABE BABE!!!AYA VIJANA WA ZAMANI HIZI HAPA KWA AJILI YENU KUTOKA @AK CLASSIC COSMETICS!!

    L'OREAL AGE PERFECT HIZI NI BIDHAA AMBAZO ZINASIFIKA KWA MUDA SASA KWA SWALA ZIMA LA KURUDISHA NGOZI UJANANI!!VIJANA WENGI WA ZAMANI WATAKUWA MASHAHIDI WAZURI WA KAZI KUBWA AMBAYO IMEKUWA IKIFANYA NA L'OREAL PRODUCTS.CREAM HIZI ZIPO ZA AINA MBILI YAANI YA KUPAKA ASBH(DAY) NA YA USIKU (NIGHT).CREAM YA ASBH(DAY) IMEWEKEWA KABISA SUN-BLOCK ILI IWEZE KUKUKINGA NA MIOZI MIKALI YA JUA NA KUIFANYA NGOZI YAKO IONEKANE FRESH NA YAKUPENDEZA!
   HII INAITWA KOLLAGEN INTENSIV NI CREAM AMBAYO IMETENGENEZWA KWA AJILI YA WATU  WENYE UMRI MKUBWA,CREAM HII HUISAIDIA NGOZI KUHARAKISHA MFUMO UNAOCHOCHEA HORMONE ZITOE CELL ASILIA ZA COLLAGEN AMBAZO HUISAIDIA KUIFANYA NGOZI IONEKANE YA ILIYOWAMBIKA VIZURI,NYORORO NA ANG'AVU!!HIVYO CREAM HII HUSAIDIA KUPUNGUZA MIKUNJAMANO USONI(WRINKLES),MABAKA MABAKA NA WEKUNDU/WEUSI UNAOZUNGUKA 
  JICHO (MIWANI)

  MARYKAY TIMEWISE AGE FIGHTING MOISTURIZERS,MARYKAY KWA MUDA MREFU SASA WAMEKUWA WAKITOA BIDHAA MAHSUSI NA PENDWA KWA NGOZI.MARY KAY AGE FIGHTING MOISTURIZER KAMA ZILIVYO ZINGINE PIA HUSAIDIA KUONDOA MIKUNJO MIKONJO YA USONI(WRINKES) NA KUIWAMBA NGOZI IKAONEKANA BADO WAMO...WATAALAM WA MAMBO WANASHAURI SANA UNAPOTAKA MATOKEO MAZURI BASI UTUMUE NA BIDHAA ZAKE ZINGINE KAMA DAY&NIGHT SOLUTION...ZOTE ZINAPATIKANA AK COSMETICS!!   WALE MAGWIJI WA  VIPODOZI VYA UKWELI KUTOKA MAJUU (AK CLASSIC COSMETICS) WAMEKUJA NA VITU KWA AJILI YA VIJANA WA ZAMANI!!(UZEE SASA BASII) 
   SASA WAMEKUSHUSHIA BIDHAA ZA KUFANYA NGOZI YAKO KURUDISHWA MPAKA  MIAKA 10 NYUMAA YAANI UNARUDI UJANANI HIVI HIVI!!
   BIDHAA KAMA ZINAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO ZIPO AINA TATU TOFAUTI UNACHAGUA MWENYEWE IPI UNAPENDEZWA NAYO KUTOKANA NA MAELEZO YAKE!!
   KWA MAELEZO AU MASWALI ZAIDI ZAMA www.akclassic.blogspot.com AU WAPIGIE   0713468393/0753482909.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UZEE MWISHO CHALINZE MJINI KILA MTU NI BABE BABE!!!AYA VIJANA WA ZAMANI HIZI HAPA KWA AJILI YENU KUTOKA @AK CLASSIC COSMETICS!! Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top