Friday, October 12, 2012

Abaya Fashion Show and Luncheon ni leo

Classic Event

Classic Music

Classy People

Fresh Fashion, Fresh Faces

Leo Ijumaa October 12 tunakutana Red Onion Restaurant, Haidery Plaza
kwaajili ya Event moja tu ya kumalizia malizia mwaka, Ni Abaya Fashion
Show and Luncheon inayofanyika kuanzia saa tisa na nusu till late in
the evening kwa mchango wa shilingi 25,000 tu.

Asia Idairious, Mustafa Hassanal, An Nisa Abaya will showcase huku
Kidotiloving Jokate akisherehesha shughuli. Super Models, Fiderine
Iranga, Richa Adhia na wengine will take down the runway. Its gonna be
haaaaawty evening. Si ya kuikosa hii.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

 
Nafasi Ya Matangazo