Mkurugenzi wa kijiji cha watoto yatima cha SOS , Rita Khuranga (Mkurugenzi wa SOS Tanzania Dr Daudi Makobore (mjumbe wa bodi)(wa mwisho kushoto) wakipokea cheki ya shilingi milioni 2.000.000 kutoka kwa Bw. D.Ravi Kumar wa kampuni ya Tanzania Tea Blanders, kwaajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS. JIJINI DAR jana.
Mkurugenzi wa SOS Tanzania Dr Daudi Makobore na Bw. D.Ravi Kumar wakibadilishana mikataba mara baada ya kuasini msaada wa shilingi milioni kampuni ya Tanzania Tea Blanders, kwaajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS. JIJINI DAR jana.







Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment