Saturday, September 1, 2012

mkutano wa 16 wa siasa wa nchi zisizofungamana na upande wowote wamalizika Teheran Iran

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa  16 wa  Wakuu wa Nchi  za Siasa ya Kutofungamana na Upande wowote  uliomalizika jana mjini Tehran,  Iran.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi,  walipokutana jana mjini Tehran  na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais). 

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.