Sunday, September 23, 2012

MKAMA AmkARIBISHA RAIS KIKWETE KUONGOZA KIKAO CHA MAADILI CHA CCM DODOMA


Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Wilson Mkama akimkaribisha mwenyekiti wa CCM taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa White House jijini Dodoma kuongoza kikao cha kamati ya Maadili cha CCM leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.